Duration 13:57

JPM AFUNGUKA ikiisha December Tu, Nahamia Dodoma

3 941 watched
0
14
Published 14 Oct 2018

#NYEREREDAY #JPM #MARIANYERERE JPM AFUNGUKA "ikiisha December Tu, Nahamia Dodoma" RAIS John Magufuli amesema serikali ya awamu ya tano itaendelea kumuenzi Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuhakikisha fikra na mipango mizuri aliyoiweka inatekelezwa kwa manufaa ya Watanzania. Magufuli, aliyekuwa amefuatanana mkewe, Janeth, ametoa kauli hiyo leo October 14, 2018 wakati akizungumza na mjane wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere, nyumbani kwake Msasani jijini Dar es nSalaam alikokwenda kumtembelea muda mfupi baada ya kushiriki ibada ya misa takatifu ya Jumapili iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Oyster Bay. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 3