Duration 4:8

HII NDIYO NDEGE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI

88 727 watched
0
249
Published 13 Jun 2019

HII NDIYO NDEGE KUBWA KULIKO ZOTE DUNIANI! Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanaendelea kushika kasi sana duniani,hali inayochochea zaidi ushindani wa kibiashara ili kukidhi mahitaji na kuteka soko lililopo. Kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Stratolaunch Systems imelitambua suala hilo na kujikita kwenye uboreshaji wa bidhaa zake. Moja kati ya bidhaa inayoendelea kutamba duniani ni ile ya ndege kubwa zaidi duniani kwa mwaka 2019, iitwayo Stratolonch Roc. #STRATOLAUNCHROC /watch/f-X1N-1 ... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: Maajabu, Reli Iliyozama Ndani ya Ziwa Kubeba Meli Mbovu www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Category

Show more

Comments - 16