@rithakuyala99514 years agoWazee wetu mnakumbukumbu nzuri sana asante kwa kutupa history upo vizuri mzee butiku. 2
@
@dorcasseruhere68754 years agoAsante mzee butiku kwa kutunza hayo mawazo ni weredi kabisa ulimpenda baba yetina tuweke hizo kumbukumbu vizazi vyetu viweze kuelewa habari za rais wa kwanza wa tanzania. 2
@
@a2gmgimwa34 years agoKwahiyo kwakua mna maisha manzur hamkupakumbuka.
@
@zainabumwagiroabdallamwagi974 years agoNinachoamini mwalimu nyerere amefanya mengi mazuri mungu amrehemu lkn hakufanya peke yake kunawatu walimuezesha kufika hapo, kama alizaliwa 1922 na chama. ...Expand4
@
@prosperkullaya45294 years agoVery deep. Mchonga alikuwa ni gift from god sasa tumepewa anko magu binadamu atuna shukran sana. 1
@
@epifaniamilinga28484 years agoUwatembelee wazeewalifanya kazi na nyerere, wana hazina za kutosha. 5
@
@issaalfani10304 years agoHahahahah mzee kanifurahisha hapo kwenye ukatibu. 2
@
@frankkaiza36584 years agoWambie mzee wame jisahau cna wa kumbushe!
@
@josephinaalexnsungwe13254 years agoDu nyerere kicha kweli naskia ulikua zaid.
@
@stanslauselias90024 years agoKodi za wanaichi mnazingeuza mtakavyo watu wana shida watu wanamatatizo watu hawana hela za kwenda hospital ila nyumba zinajengwa kwa bilioni mungu anawaona. 2
Related videos for NYUMBA YA NYERERE YAMSHANGAZA BUTIKU NILIISHI NA MAKONGORO, ILIKUWA NDOGO, ALIUZA MAFUTA YA TAA: