Duration 5:26

Ukiandamwa sana na mikosi majanga huwa hayaishi unaukumbuka mkasa huu wa timu ya simba

12 314 watched
0
23
Published 23 Jun 2016

Mashabiki wa timu ya Simba walilazimika kung'oa viti vya uwanja wa Taifa baada ya mwamuzi Mohamed Theophili kutoka Morogoro alipotoa penati katika dakika ya 90 kwa timu ya Kagera Sugar

Category

Show more

Comments - 3