Duration 1:27

UTIAJI SAINI MKATABA YA MASHIRIKIANO YA MAUDHUI KATI YA YANGA NA AZAM

1 702 watched
0
48
Published 8 Jul 2021

Mshauri wa uendeshaji wa klabu ya Yanga Sc Senzo Mbatha, akitoa pongezi kwa Azam Media kwa kuona na kuongeza thamani kwenye mpira wa miguu na kuamua kuwekeza kwenye Klabu yetu. #SisiTunaWatu #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko

Category

Show more

Comments - 2