Duration 50:39

Kimada alilala kwangu wakati nilipokwenda hospitalini kujifungua mtoto wangu wa pili

14 716 watched
0
71
Published 11 Feb 2021

Bi Esther Nduku anasema mume wake na baba ya watoto wake alisaliti penzi lao na hata akamualika kimada wake nyumbani kwao alipokuwa ameenda hospitalini kujifungua mtoto wao wa pili. #WaridiwaBBC #Ndoa #Wanawake

Category

Show more

Comments - 42