Mvutano mkali wa kisheria umeibuka baina ya mawakili wa serikali na mawakili mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo - Chadema Freeman Mbowe katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa katika mahakama kuu na mwenyekiti huyo wa chadema dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na wenzake wawili.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Full Wema Sepetu ameungana na viongozi wa CHADEMA mahakamani Leo - 23.02.2017: