Duration 19:47

MTANZANIA ALIYEENDA CHINA NA BALANCE YA DOLA 20, ANAISHIJE WAKATI KUNA CORONA

17 564 watched
0
155
Published 2 Mar 2020

Michael Castory Mahalila ni kijana wa kitanzania aliyezaliwa August 16 1993 Kwimba jijini Mwanza, kwa sasa yupo china akisoma elimu ya chuo kikuu, baada ya awali ya kuamua kuachana na chuo kikuu UDOM na kwenda China kutafuta fursa za kimaisha huku akiondoka Tanzana kwa mgongo wa scolarship ya kwenda kusoma kichina.

Category

Show more

Comments - 44