#vermicelli #dessert #sweetdishes
200g tambi nyembamba
1/2 kikombe sukari (125ml) au zaidi ukipenda
1/4 kikombe zabibu kavu na 1/4 kikombe lozi zilokatwa
1/2 kijiko kdgo hiliki ya unga , nusu pakti vanilla ya unga
Maziwa fresh metumia kikombe cha 250ml ki1 na 65ml ki1 sawa na (1 1/4 cups)
Extra Lozi na zabibu za kupamba juu
Category
Show more
Comments - 8
Related videos for Tambi nyembamba za maziwa with English Subtitles: