Duration 17:12

LIVE Nje Ya Uwanja Aston Villa. Samatta Samagoal. Bongo ZOZO

67 534 watched
0
871
Published 28 Jan 2020

Category

Show more

Comments - 207
  • @
    @madukaj.j.69994 years ago Come on tanzania the man is right to represent us through football. 5
  • @
    @willyjoh77454 years ago Kama una apreciate alichokifanya bongo zozo, like kama zote apo chini. 145
  • @
    @Nderem7864 years ago Yani bongo zozo napenda unavyopenda tanzania haki we appreciate mungu akuweke sana. 49
  • @
    @fredychaji80854 years ago Bongo zozo nakubaliii mzee wangu. Fujo isiyo umizaa. Km unamkubali bongo zozo gonga like hapooo +255. 27
  • @
    @BiornProductions4 years ago Bongo zozo. Eti mmepata tickets ndiyo mnasepa
    nimecheka sana.
    28
  • @
    @alexchandi23354 years ago Big up sana bongo zozo na wa tz wote mliopo huko, mmefanya fujo isiyo umiza. 1
  • @
    @felixmoses98634 years ago Nakukubali sana bongo zozo anaejifanya hakuelewe bwege kisilani chake. 17
  • @
    @kimutattoo40674 years ago I' m proud of you @bongozozo hakika umefanya kweli 100% 1
  • @
    @fridaykwama77154 years ago Ahsante bongozozo masanja(fujo isiyoumiza) kwa kuuvaa utanzania. Keep it up bro. 1
  • @
    @hamzajose39094 years ago Bongo zozo mm nishabiki wako mdamrefu sana, i love you so much the way you in courage pple for samatta, i wish sku moja na mm nije villapark tukiwa id="hidden1" pamoja tumwangalie samatta wetu, ila tatzo money, i' m in kilimanjaro, mlima ambao unautagaza sana nimekufatilia. ...Expand 6
  • @
    @jastinkatwazkatwaz45334 years ago Mungu akubariki bongo zozo fujo isiyo humiza watanzania tuko pa1 nawe. 1
  • @
    @mnyamanzimnyama27784 years ago Umetisha mzeebaba zozo boy pamoja sana.
  • @
    @abdallahmohamad69914 years ago Salim na bongo zozo nakuja huko london mwez wa december inshaallah mungu akipenda.
  • @
    @dullybrown36354 years ago Mhahhahahahaa thank u bongo zozo on behalf of all tanzanian. 10
  • @
    @dicksonulotu97174 years ago Bongo zozo wewe ni mzalendo wa kweli, safi sana9. 2
  • @
    @abelmtachoka75974 years ago Bongozozo nishakuelewa xaxa! Da! Hongera xana mwana, we kweli mzalendo wa kweli! 2
  • @
    @respeciussostenes39914 years ago Good bless mbwana samatta na aston villa. 4
  • @
    @markjames46104 years ago Lol get them all on!
    there will be hell to play at villa park when they cant get a ticket for the game!
    god bless them all
    u t v
    warm regards all from jamesey.
    10
  • @
    @sarahrajabu98124 years ago Safi sana mdogo wangu haruna mbeyu. Bongo zozo salim kikeke. 1
  • @
    @mirumbeihema25894 years ago Bongo zozo anamsha mwangu samatta yani wewe achatuu dar lnapendeza sana asee. 2
  • @
    @arunamwaholi13514 years ago Nampenda sana bongo zuzu anavyo ipenda tanzania na uchangamfu wake. 1
  • @
    @gmansid35764 years ago Amazing that guy from erdington speaks fluent swahili. 9
  • @
    @jumason1424 years ago Bongozozo hongera kwa saport tanzania tunakukubali sana. 9
  • @
    @MaryMary-iw3jh4 years ago Ilo heka heke la bongo zozo kama anamtoa mwali big up. 1
  • @
    @joycekayenzi98104 years ago Eti salim muhuni nilipompatia tiketi kasepa dah bongo zozo nomaa. 5
  • @
    @jmbaringo44954 years ago Hahaha twende yukaangalie kigari cha salim
    anatangaza utadhani ana posh.
    4
  • @
    @salehmohd52314 years ago Bongo zozo he is so amazing i love him.
  • @
    @reginamzolo12914 years ago Bongo zozo nimependa saport yako kwa mtanzania mwenzetu. 1
  • @
    @mussataliye78154 years ago Kwel bongo zozo nibaroz mzur wa nchi yetu.
  • @
    @franktvonline29204 years ago Bongozozo nakukubali sana we kweli ni muafrika maana una tabia za ki afrika.
  • @
    @adamdaoudi85174 years ago Zito kabwe anashindwa uzalendo hata na bongo zozo. 3
  • @
    @yusuphmohammad13854 years ago Kwa dhati ya moyo wangu namtunuku uraia wa tz bongo zozo. 1
  • @
    @amosafrica23504 years ago Bongo zozo jamani natamani nikuone live jamani kwa kweli unanipa furaha kumoyo! Ebu fanya mpango tuonane buana. 4
  • @
    @maendombwana40834 years ago Bongo zozo yuko vizuri kuitangaza nchi.
  • @
    @barakarobert95164 years ago Hahahah kama nawaona majirani wanavyomtamani bongo zozo. 2
  • @
    @ireneassey36854 years ago Hahahhqq bogo zozo bana unatakiw ukae foleni usilete za mbagalaa ulaya. 3
  • @
    @hamadamabali28954 years ago Serikali ya tanzania inafaa kumpatia bongo zozo free entry tz! Mm ni mkenya hila na appriciate! 3
  • @
    @AmCool_4 years ago Bongo zozo anweza kuwa mwandishi mzuri wa habari kuliko baadhi ya channel hapa youtube. 1
  • @
    @abuharalute7524 years ago Huyu salim muhun nmempatia tiket kasepa. 1
  • @
    @rockyvlogs22144 years ago Yahan huyu jamaa kama mbongo mmoja hivi. 2
  • @
    @maombikonga4 years ago Asante bongo zozo unatufunza kuwa wazalendo. 1
  • @
    @AdAhmed-cy7ii4 years ago Hadi raha kwakweli mko kidogo ila kama mko mia kwa zogo la bongo zozo. 2