Duration 1:1

Nasi tujiweke tayari kwasababu hatujui siku Wala saa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt

38 watched
0
0
Published 18 Mar 2019

" Nasi tujiweke tayari kwasababu hatujui siku Wala saa " Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ametoa heshima z mwisho kwa mwili wa marehemu Paulina Kasama Seleman ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Geita Mhe. Vick Kamata na pia Marehemu ni Dada wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.Ibada hiyo imefanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Osterbay Jijini Dar es salaam .Machi 18,2019

Category

Show more

Comments - 0