Duration 1:39:39

Wasemaji Simba, Yanga na Azam wazungumzia hatma ya ubingwa VPL - KURASA ZA MWISHO

4 984 watched
0
26
Published 18 Apr 2020

"Bingwa lazima apatikane uwanjani" - Hiyo ni kauli ya bodi ya ligi kupitia kwa CEO wake Almas Kasongo kupitia moja kati ya magazeti ya leo. Tumechambua kauli hiyo tukiungana pia na Msemaji wa Azam FC Zakaria Thabith, Msemaji wa Yanga Hassan Bumbuli, na Msemaji wa Simba Haji Manara. Kila timu imesema lake, ambapo Haji Manara amesema kusimama kwa ligi hakujawaathiri kifedha. Wachambuzi wetu ni Elius Kambili na Gift Macha wakiwa na Pascal Kabombe lakini kwa njia wa skype pia tumeungana na baadhi ya wahariri. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 4