Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Abdallah Pandu
cc: Safia Hussein
cc: Maryam Kidiko
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Ali Rajab
Rajab ahmada
Editors:
Ali Hassira
Mohammed Abeid
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Yussuf Khanmis
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
/watch/I-0qPiHzwZBzq/watch/AGn4b51VuC_V4
@khamisjuma50463 years agoNduguzagu wa zanzibar salam zangu kutoka usa marekani masela amkeni raia hawatupendi chukua meli kamamimi.
@
@fatmasalim82933 years agoLahaula walakuwat ilabilah mtihani wallahi vijana fanyeni kazi.
@
@yasalaam5903 years agoSafiy hiyo ndiyo sheriya ya. Ungu ila mkushawakata mikono muwrke na mafuta ya moto mukishamkata tu msimuache kutoka damu nyingi lazma mumuekee mafuta ya moto inshasllah.
@
@iddyramathan45073 years agoKweli mama wakatwe mikono tu kuliko kuwachoma moto ili kila alipite afahamike. 1
@
@hilalkhalfan14523 years agoUkipeleka mwizi polisi na pesa za kuwapa polisi unataarisha. Sasa bora tumalizane kwa bure tu. 1
@
@bas28233 years agoSasa mkiibiwa nazi tuu mnalalamika je? Wale mliowadhulumu mali na mashamba yao je? Ya allaallah ya raab.
@
@hilalkhalfan14523 years agoWizi unaleta ufukara katika nchi. Yaani kama kila mtu anao uwezo wa kufuga kuku wa kienyeji (koko) au wanyama akiibiwa mmoja waliobakia hawafugi tena na. ...Expand
@
@yasalaam5903 years agoNkweli wezi wanakera na wanarejesha nyuma maendeleo.
@
@salmaelhinai8333 years agoNa kubaliana na nyie hali ni mbaya na inasikitisha katika wizi wa mazao na pemba pia vitendo hivyo vimeshamiri.
@
@yasalaam5903 years agoTena anapewa ugali wa bure jela ndiyo mana wanafanya hivyo ili warejeshwe tena jela wakale bure.
@
@mwanaishazain79853 years agoMbona hueleweki sema kwa ufasaha. Hata sijui unasema ninibona hivi. Bora kidogo huyu wa pili.
@
@bas28233 years agoJe? Hao waligawiwa heka za mashamba ya watu na wakayakubali je? Wahukumiwe vipi? Watu hao? Kukubali mashamba yasio. Kuwa yao wala sio ya serikali hiyo. ...Expand
@
@aliabdalla92973 years agoAkatwe mkono wa kwanza aendelee akatwe wa pili aendelee akatwe wa tatu.
@
@pira74393 years agoWapigwe mikwaju kweli mpk awe hoi bin taaban, wasikatwe mikono wala kuuliwa, ana kupekekwa polisi haina faida.
@
@ammaryassir86623 years agoKama hawataki kuacha wachomwe moto tuu hio ndio dawa yao tuone wasiachee.
Related videos for WIZI WA MAZAO WASABABISHA KUKATWA MIKONO TUNGUU: