Duration 9:1

TUNAPINGA RUSHWA ya NGONO - WATOA MSIMAMO MABADILIKO SHERIA KUZUIA na KUPAMBANA na RUSHWA ya NGONO

236 watched
0
1
Published 20 Jun 2023

"TUNAPINGA RUSHWA ya NGONO" - WATOA MSIMAMO MABADILIKO SHERIA KUZUIA na KUPAMBANA na RUSHWA ya NGONO... Ndugu wanahabari, sisi Wanamtandao tunaopinga rushwa ya ngono nchini, tunawakaribisha kwenye kikao chetu chenye madhumuni ya kuwapa taarifa yenye msimamo wetu kuhusu mabadiliko ya Sheria ya Kupambana Na Kuzuia Rushwa ya Ngono kifungu cha 25 (2). Sisi ni Mtandao unaojumuisha asasi takribani 200, ambazo zimekuwa zikiendesha kampeni kubwa na kuhamisisha wananchi kuhusu Sheria hii ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hususan Kifungu cha 25 kinachohusika na suala la Rushwa ya Ngono. Ndugu Wanahabari, Kifungu hiki cha 25 kinakiri kwamba, rushwa ya ngono inatokana na matumizi mabaya ya mamlaka pale ambapo mwenye mamlaka anatumia vibaya mamlaka yake, kudai ngono kwa anayemwongoza ili ampe stahiki yake, (kupandishwa cheo, ajira, nyongeza ya mshahara, likizo na marupurupa mengine aidha anayostahili au ili ampendelee... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Category

Show more

Comments - 2