Duration 3:5

Wizara ya afya yasisitiza hakuna huduma bila chanjo ya COVID-19

2 550 watched
0
21
Published 22 Dec 2021

Waziri wa afya atumia sheria ya afya ya umma kutekeleza masharti Hakuna huduma afisi za serikali, usafiri wa umma mikahawani bila chanjo Wanaotafuta huduma sharti wathibitishe kupata chanjo kikamilifu Chanjo za ziada kuanza kutolewa kuanzia mwezi Januari Watoto walio na chini ya umri wa miaka 15 hawahitaji cheti cha chanjo 100% ya wanaopata Corona sasa ni virusi aina ya Omicron

Category

Show more

Comments - 13