Duration 6:10

MKUU WA MAJESHI CDF ATANGAZA MAJINA YA MAAFISA WA JWTZ WALIOPANDISHWA VYEO NA RAIS MAGUFULI

18 752 watched
0
55
Published 12 Apr 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 12 Aprili, 2018 amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika vyeo mbalimbali.

Category

Show more

Comments - 2