Comments - 29
  • @
    @zawadichalale40473 years ago Pamoja na madhaifu yako ila kwa upande wngu nimejifunza kitu kikubwa sana nitamheshimu mume wangu sana. 3
  • @
    @alexjohnanania3 years ago Jimmy(mtangazaji) you soo wise. Ndani yako kuna hekima ndani yako. 2
  • @
    @maglansangenoi3 years ago Mtangazaji kwa kweli big up sana kwako. Una maswali mazuri la utulivu mzuri sana kwenye kipindi. Nafurahishwa sana na namna unavyomudu kipindi chako.
  • @
    @theresiakapinga52383 years ago Uliyemchokoza kaja! Kupitia maisha yako ipo shule.
  • @
    @bosslilyg43903 years ago Huyu kaka anaonekana mtata sana, mke wake ana shida kwakweli. 2
  • @
    @maxjofrey82983 years ago Kiukweli brother jimmy nimejifunza mengi sana kwako na nnahamini naweza kujifunz zaidi brother yani unaongea point sana brother.
  • @
    @joycemashikolo90963 years ago Hilo swari la utata! Moja kwa moja tu huyu kaka ongea yake tu ni mtata mkubwa sn. Ni zaidi ya. 1
  • @
    @peaceisrael81583 years ago Mtangazaji hapa umeonyesha busara ya hali ya juu sana. Mungu akubariki sana. Huyu mke ana moyo pia. Cant imaginetabia za ajabu @wanawaake wa bibilia nonsense.
  • @
    @browrinah93573 years ago Ukweli unauma ndo maana brother jimmy utmwona kama vitu anavyo ongea haeleweki au nimkali. 1
  • @
    @frednzunda80403 years ago Inawezekana nimechelewa kujibu ila nimejifunza kitu kikubwa kwenu watumishi.
    moyo mzuri ni ule usioficha au tunza mabaya ingawa ukiwa na moyo huu utaonekana vingine maana haki siku zote huonekana kama udikiteta.
    1
  • @
    @zaburi23863 years ago Hyu jama jimmy mafufu anajua kujieleza ni kipaji kikubwa.
  • @
    @dastankalinga4423 years ago Sikujua kabisa mafufu kaokoka? Kweli mungu ni wa maajabu.
  • @
    @apostleoscarnyakungachuma35103 years ago Vyangudoa ahahaha
    asante! Tuponee.
  • @
    @dismassiragoye73713 years ago Ni kweli tatizo ni kutokuwa na akinamama wa biblia.
  • @
    @lizzybahati98333 years ago Kama mwanaume anamaneno ya jeuri je acheni kuwaonea wanawake bwana.
  • @
    @alamnyopo97393 years ago Jimmy mafufu huyo mwanamke unayemtaka hayupo dunian. Labda umuumbe wa kwako. 3
  • @
    @neemajohn58113 years ago Upendo au hesabu mabaya, upendo uvumilia, hakuna mwanank utakae nae mdogo wangu, nina miaka 26 ya ndoa, na kumbuka mwanake nae ana moyo wa maumivu, hujamuumba wewe, bado una safar ndefu kama hutobadili, 1
  • @
    @alexjohnanania3 years ago Jimmy, huyu jimmy mwenzako anaongea ukweli. Naomba sanaana asili ya ukweli. Hana unafiki ndani yake.