Ikiwa ni takribani miaka miwili sasa tangu uteuzi wake uzue gumzo kubwa hapa nchini, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo anasimama katika Msumari wa Moto huku Charles William na David Rwenyagira wakihakikisha majibu ya maswali mbalimbali yanapatikana.
Karibu uweze kutazama mahojiano haya kutoka wilayani Kisarawe, mkoani Pwani katika kituo cha kazi cha DC Jokate Mwegelo