Duration 1:13

Angalia mazoezi ya Wachezaji wapya wa yanga ni balaaa zaidi ya morrison

6 791 watched
0
13
Published 13 Aug 2020

Wachezaji wa yanga wanaonesha shauku ya kupambania kombe kwa msimu ujao wa ligi kuu,Huku viongozi wao wakionesha msukumo mkubwa kwa kuongeza Wachezaji wa kigeni wenye uwezo na Ufanisi mkubwa katika michuano ya badaee.

Category

Show more

Comments - 1