Duration 4:33

VILIO TABATA, NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO NILIKUWA KAZINI, BIBLIA HAIJAUNGUA

46 933 watched
0
270
Published 18 May 2021

Ni tukio la ajali ya moto maeneo ya Tabata Kimanga maeneo ya kwa Shiba ambapo nyumba yenye takribani vyumba vitatu ikiwa imeteketea kwa moto na chanzo kikibainishwa kuwa ni shoti ya umeme.

Category

Show more

Comments - 203