Justina Syokau alifunga ndoa na mwanamume ambaye alikuwa amemuwinda kimapenzi kwa muda mrefu.
Ilikuwa Juni, 2012, walipofunga pingu za maisha katika harusi iliyojaa mbembwe na bashasha, asijue kuwa ndoa hiyo itakuwa ya muda mfupi tu na iliyojaa pandashuka chungu nzima.
Justina Syokau ndiye mgeni wetu wiki hii kastika Waridi wa BBC ambapo tunajadili dhuluma za nyumbani
#WaridiwaBBC
#Ndoa
#dhulma