Duration 2:43

NGOMA YA KIFIPA YAMNYANYUA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO.

2 703 watched
0
13
Published 21 Jun 2021

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam alishindwa kujizuia kunyanyuka na kucheza ngoma ya kabila lao la Kifipa. Ngoma ilikuwa inatumbuiza kwenye Sherehe yake ya miaka 50 ya Upadre. Iliyofanyika katika Ukumbi wa Kardinali Adam katika Viwanja vya Kituo cha Kiroho na Kijamii cha Msimbazi,Dar es Salaam

Category

Show more

Comments - 0