Duration 5500

MAMA SAMIA SULUHU ATANGAZA RAISI MAGUFULI KAFARIKI

2 325 watched
0
14
Published 17 Mar 2021

Mama samia suluhu ametangaza kufariki kwa Raisi Wetu John pombe Magufuli kupitia tv Ya taifa TBC MAMA SAMIA ameelezea kuwa Raisi Magufuli amefariki kutokana na ugonjwa wa moyo. Mungu ametoa na Mungu ametwaa Mungu amlaze mahali pema peponi Raisi Magufuli kipenzi cha Watanzania.

Category

Show more

Comments - 4