Duration 3:50

Mzee Joseph Butiku ataka Uchaguzi wa mwaka 2020 uendeshwe kwa Uhuru, Uwazi na Haki

1 765 watched
0
17
Published 4 Aug 2020

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph #Butiku amehudhuria Mkutano Mkuu wa #CHADEMA uliofanyika Mlimani City, Agosti 04, 2020 wa kupitisha Wagombea wa Urais Amesema #Uchaguzi2020 ukiwa wa Uhuru, Uwazi na Haki utatupatia viongozi bora

Category

Show more

Comments - 1