Duration 36:52

Mansoor atowa hotuba ya kihistoria Alabama

127 540 watched
0
677
Published 20 Sep 2020

Meneja Kampeni wa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Mansoor Yussuf Himid, ametoa hotuba yenye hisia kali sana wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Alabama, Mjini Unguja, siku ya Jumamosi ya tarehe 19 Septemba 2020.

Category

Show more

Comments - 291