Duration 4:11

KISWAHILI PSALMS: ZABURI 22, DOMINIKA YA TANO YA PASAKA, MWAKA B, 02/05/21

158 watched
0
4
Published 27 Apr 2021

MTAKATIFU YOSEFU UTUOMBEE KISWAHILI PSALMS: ZABURI 22: 26B-27, 28, 30, 31-32 DOMINIKA YA TANO YA PASAKA –MWAKA B KWAKO, BWANA ZINATOKA SIFA ZANGU KATIKA KUSANYIKO KUBWA. Nitaziondoa nadhiri zangu Mbele yao wamchao Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao Bwana watamsifu, Mioyo yenu iishi milele. Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea Bwana; Jamaa zote za mataifa watamsujudia, Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini. Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake, Wazao wake watamtumikia. Zitasimuliwa habari za Bwana, Kwa kizazi kitakachokuja, Nao watawahubiri watakaozaliwa haki yake, Ya kwamba ndiye aliyefanya.

Category

Show more

Comments - 0